SAGCOT imeundwa na asasi wabia zilizosajiliwa ambazo ni mashirika/idara/ wakala mbalimbali wa serikali, sekta binafsi, washirika wa maendeleo, taasisi za
utafiti, wahisani, asasi za kiraia na vikundi vya wakulima.Wadau wetu wa utaalamu mpana zaidi katika mnyororo mzima wa thamani kwenye kilimo, ambapo hubadilishana uzoefu mbalimbali katika utafiti,teknolojia, fedha, na biashara.