Tanzania Mpya, Dira Mpya: Toa Maoni Yako Kwenye Dira ya Maendeleo 2050!
Wadau wa SAGCOT, wanufaika, na washirika wote, mnakaribishwa kushiriki katika kongamano muhimu la mtandaoni kujadili Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. 📅 Tarehe: Jumatatu, 23 Desemba 2024⏰ Muda: Saa 4:00 asubuhi – 6:00 mchana📍 Mahali: Mtandaoni kupitia Microsoft Teams Rasimu ya Dira ya Maendeleo
Read More