Utajiri Uliojificha – Zao la Embe Ndio Habari Mpya Katika Sekta ya Kilimo!
Mkuranga, Tanzania – Katika eneo la Mkuranga, shamba moja la maembe limekuwa kivutio cha kuvutia kwa wakulima, watafiti, na vijana wanaotaka kujifunza kilimo cha kisasa. Shamba la Maembe: Mfano wa Kilimo cha KisasaShamba hili, lenye maembe ya aina mbalimbali, limekuwa kituo cha mafunzo kwa vijana na wakulima
Read More