Eleonora Mallya

Eleonora Mallya

Mtaalamu wa Rasilimali Watu

Abraham alijiunga na Taasisi ya SAGCOT mwaka 2015 kama Mratibu wa TEHAMA, Msanifu wa Wavuti na Msimamizi. Ni Mshirika wa Ufumbuzi Aliyethibitishwa wa Kampuni ya Microsoft (Microsoft Certified Solution Associate - MCSA (Windows Server 2012 Track) na mhitimu wa Diploma ya Uzamili katika Teknolojia ya Habari kutoka Kituo cha Mafunzo Sayansi ya Kompyuta katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mbali ya kusimamia Mifumo ya TEHAMA na Usimamizi wa Mtandao pia anasimamia wavuti na kusaidia katika usanifu wa Uundaji Mifumo na utekelezaji wake.

Kabla ya kujiunga na Taasisi ya SAGCOT, Abraham alifanya kazi kampuni ya Deloitte and Touché kama Msimamizi wa Mifumo ya Kompyuta kwa kipindi cha miaka 6, kisha baadaye akajiunga na taasisi ya Save the Children kama Mratibu wa TEHAMA kwa kipindi cha miaka mitano.