Goreth  Mfuse

Goreth Mfuse

Dereva-Kongani ya Mbarali

. Mfuse alijiunga na timu ya Taasisi ya SAGCOT mwaka 2017 na kupangiwa kazi moja kwa moja katika Kongani ya Mbarali ambapo kaongeza kuwa ni mojawapo ya watendaji mahsusi wachapakazi, akiwa ni dereva wa kwanza mwanamke. Akiwa na ujuzi mzuri kwenye ufundi wa magari na udereva, hivi vyote amehitimu kwa kupata vyeti husika. Kabla ya kuja SAGCOT, Goreth alifanya kazi Karakana ya Mwaji Group – Kampuni Msambazaji/Muuzaji wa magari aina ya Toyota iliyoko jijini Mbeya kwa miaka mingi kama dereva na fundi wa magari.