Khalid Mgaramo

Khalid Mgaramo

Meneja wa Kongani & Ubia – Kongani ya Ihemi

Khalid alijiunga na Taasisi ya SAGCOT Centre mwezi Januari 2017 kusimamia kazi za ardhi na miundombinu kwa kusaidia uwekezaji wa kilimo katika Ukanda wa SAGCOT. Kabla ya kujiunga na Taasisi ya SAGCOT, alifanya kazi kama Mtaalam wa Tathmini na Ufuatiliaji akiwa na jukumu la Kujenga Uwezo wa Wabia wa Uwajibikaji katika Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Uchumi na Jamii. Pia alifanya kazi katika taasisi ya Care International nchini Tanzania kama Mtaalam wa Tathmini na Ufuatiliaji kwenye miradi ya kilimo, maendeleo ya jamii na kuboresha hali ya maisha ya jamii. Khalid ni mhitimu wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi Kilimo kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine Morogoro.