Nancy Asman

Nancy Asman

.

Marehemu Ms. Nancy Asman alifanya kazi kama Mratibu wa ubia Taasisi ya SAGCOT kuanzia mwaka 2016 mpaka wakati alipoaga dunia tarehe 8 Septemba, 2018. Ataendelea kukumbukwa kwa ushupavu wake na utendaji kibiashara na kujitolea bila kuyumbayumba kuelekea kutimiza malengo ya kazi alizopangiwa na Taasisi ya SAGCOT.