Philip Kundy

Philip Kundy

Dereva-Kongani ya Ihemi

Philip alijiunga na Taasisi ya SAGCOT mwaka 2017 kama Dereva wa Kongani ya Ihemi. Ana miliki Cheti cha Juu cha Udereva Daraja I & II, kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Dar es Salaam, Dar es Salaam. Kabla ya kujiunga na Taasisi ya SAGCOT, alifanya kazi Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na Skanpihl Colas na Tanzania Insurance Co Ltd kama Dereva.