Said Wembe

Said Wembe

Dereva-Dar es salaam

Said alijiunga na Taasisi ya SAGCOT mwaka 2013 na ni anamiliki Cheti cha Juu cha Udereva Daraja I & II na Cheti cha Kinga Ajali za Barabarani kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Dar es Salaam. Kabla ya kujiunga na Taasisi ya SAGCOT, alifanya kazi Mradi wa DANIDA (ASPS/Wizara ya Kilimo na Usalama wa Chakula kama dereva na pia alifanya kazi Wizara ya Kilimo na Usalama wa Chakula kama Dereva Mwandamizi mwaka 2013.