Tom George

Tom George

Mjumbe wa Bodi

Brian LoBue ni moja ya waasisi na MIdara wa kampuni ya Kokoa Kamili Limited nchini Tanzania. Hapo awali, alifanya kazi Kitengo cha Maendeleo ya Biashara katika kampuni ya TechnoServe, kutoa utaalam ushauri eneo la Menejimenti katika kampuni ya BearingPoint, Inc. ya jijini McLean, Virginia. Alifanyia kazi ya uchambuzi wa faida kwenye mlolongo wa bidhaa za kemikali ya petroli kwa wateja, vilevile aliandika waraka maalumu kuhusu mtiririko wa mtaji kimataifa kuhusiana na kazi ya M&A. Brian ni mhitimu wa Shahada ya Sanaa ya Saikolojia, akijikita kwenye Uhandisi Viwanda kutoka Chuo Kikuu cha Stanford. Pia ni mhitimu wa Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara kutoka Chuo Kikuu cha Yale, ambapo alikuwa ni Mshiriki Mwenza Duniani.