Katika Kituo cha SAGCOT tunafurahi kuona nguvu ya mabadiliko ya kilimo na daima tunatafuta watu na taasisi ambazo zinazopenda kutoa mchango wao ili kusaidia kukamilisha malengo ya Mpango wa SAGCOT.
Kituo cha SAGCOT ni Mwajiri anayetoa fursa sawa za ajira, na tunawahimiza waombaji waliofuzu waonyeshe nia ya kujenga uweledi nasi kutuma maombi katika nafasi za ajira, utalaam ushauri, zabuni na mafunzo ya kikazi.
Usikose kuangalia kila mara fursa zozote ambazo utaona zinakufaa wewe.
Asanteni kwa kwa kuonyesha nia katika Kituo cha SAGCOT!
Kwa taarifa yoyote ya ziada Tafadhali wasiliana nasi kupitia info@sagcot.co.tz