- info@sagcot.co.tz
- +255(0) 22 260 1024
The list of Policy Network Members
Ofisi ya Raisi – Sekrtatrieti za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) – Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Uratibu wa SektaOfisi ya Makamu wa Rais - Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Sera na Mipango
Sekretarieti za Mikoa (RS) wa Kongani zenye wabia tendaji wa SAGCOT (Ihemi; Mbarali na Kilombero). Washiriki ni Mshauri wa Kilimo wa Mkoa(RAA); Mshauri wa Mifugo wa Mkoa (RLA) na Afisa Biashara wa Mkoa (RTO) kutoka mikoa ya Morogoro; Iringa; Njombe; Mbeya na Songwe.
Wizara ya Kilimo (MOA) – Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Sera na Mipango
Wizara ya Mifugo na Uvuvi – Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Sera na Mipango
Ofisi ya Waziri Mkuu – Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Sera na Mipango
Wizara ya Viwanda na Biashara – Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Sera na Mipango
Wizara ya Nishati - Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Sera na Mipango
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Msimamizi kutoka Kurugenzi ya Sera na Mipango
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Shirika la Viwango Tanzania(TBS)
Shirika la Viwango Tanzania(TBS)
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Wizara ya Maji (MoW)
Wakala wa Nishati ya Atomiki Tanzania (TAEC)
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA)
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI)
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)
Mradi wa Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS) – Mpya
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB)
Jukwaa la Watendaji wasio wa Kiserikali kwenye Sekta ya Kilimo (ANSAF)
Baraza la Kilimo Tanzania (ACT)
Bodi ya Maziwa Tanzania(TDB)
Mradi wa Sera wa ASPIRES (ASPIRES Policy Project)
Taasisi ya Utafiti Viuadudu Ukanda wa Tropiki (TPRI)
Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA)
Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA)
Taasisi ya Kuhakiki Ubora wa Mbegu za Kilimo Tanzania (TOSCI)
Wakala wa Barabara nchini Tanzania (TANROADS)