• info@sagcot.co.tz
  • +255(0) 22 260 1024

.

Hadithi za Mafanikio

Kiwanda cha Maziwa Njombe – kubadili Ufugaji wa Ng’ombe wa Maziwa wa Kujikimu

Kiwanda cha Maziwa Njombe, kama jina lilivyo, ni mzalishaji wa bidhaa za maziwa ikiwemo maziwa halisi na yaliyosindikwa, jibini, mtindi kinazalisha lita 7,000 za maziwa kwa siku. Kiwanda cha Maziwa Njombe ni mwanachama hai sana kwa Ubia Mkakati wa Maziwa katika Kongani ya Ihemi

Tamu Tamu Tanzania Limited

Kampuni ya Tamu Tamu Tanzania ni mbia wa SAGCOT aliyeko Iringa anayezalisha matunda hai kama shufaa na strawberries kwa soko la ndani. Kampuni inamiliki shamba lenye ukubwa wa eka 30 na ambazo kwa sasa zinazalishwa matunda aina ya shufaa na strawberries.

GBRI – inachangia kwa kiasi kikubwa kwenye mnyororo wa thamani wa mazao ya mbogamboga na matunda

Imeasisiwa na Hadija Jabir, nyota inayoibukia katika sekta ya kilimo cha mbogamboga na matunda Tanzania, Kampuni ya GBRI Solution Co. Ltd iliibukua kutoka chini kama muuzaji wa mazao mabichi kama vile nyanya, pilipili hoho na maharage ya kijani kwenye mahoteli na migahawa mjini Iringa, Morogoro na kupitia nembo yake ya Kula Chakula Halisia.

Olivado Tanzania (EPZ) Ltd

Kampuni ya Olivado Tanzania (EPZ) Ltd, ni mbia mpya aliesaini kwenye Kituo cha SAGCOT na yuko kwenye shughuli ya kubadili twaswira ya mnyororo wa thamani wa parachichi. Kampuni imejenga Kiwanda cha kukamua mafuta ya parachichi chenye thamani ya Dola milioni 2.5 kuanzia chini kwenye eneo la ardhi la eka 30 katika kijiji cha Itulahumba, Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kinazalisha mafuta ya kula ya parachichi kutoka kwenye maparachichi yenye daraja la chini yasiyokidhi uhitaji wa soko la nje.

Anuani: Dar es Salaam

Ghorofa ya 5, Jengo la Ikon Masaki
Kitalu Na 153, Barabara ya Bains Singh, Masaki,
Dar es Salaam Tanzania
Simu: +255(0) 22 260 1024/ 260 0146
Barua Pepe: info@sagcot.co.tz

Anuani: Iringa

Anuani: Iringa Ghorofa ya 4, Jengo la ASAS
Kitalu Na, 38, Kanda ya II, Gangilonga
Iringa Tanzania
Simu ya Ofisi: +255 (0) 26 27 2510

Anuani: Mbeya

Ghorofa ya 1 Jengo la Biashara,
Kitalu Na. 5 Barabara ya Lupa,
Mbeya, Tanzania
Simu ya Ofisi: +255(0) 25 250 0015

Anuani: Morogoro

Jengo la Mibuyuni No. 3,
Mtaa wa Pamba ,
Morogoro, Tanzania
Simu ya Ofisi: +255(0) 783 555 623