Image

Karibuni SAGCOT

Mpango wa Kuendeleza Kilimo Ukanda wa Kusini mwa Tanzania (“SAGCOT”) ni Mpango wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi uliozinduliwa wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani – Africa (World Economic Forum – Africa) uliofanyika Dar-es-Salaam mwaka 2010.

Utekelezaji wake unachukua kipindi cha miaka 20 mpaka mwaka 2030. Lengo kuu ni kuongeza tija ya uzalishaji kwenye kilimo, kuimarisha usalama wa chakula, kupunguza umaskini na kuhakikisha uhifadhi endelevu wa mazingira kupitia urasimishaji wa kibiashara kwa wakulima wadogo. 

SAGCOT Kwa Idadi

Taasisi ya SAGCOT kinapata fedha kutoka Serikali ya Tanzania, Mashirika ya Misaada kutoka Mataifa mbalimbali hususan Serikali ya Uingereza; (FCDO au UK Aid), Serikali ya Marekani (USAID), AGRA na ofisi ya Ubalozi wa Ufalme wa Norway. Mshirika mengine ambayo yamewahi kutoa fedha ni pamoja na UNDP na Benki ya Dunia.

0
Ardhi iliyolimwa kwa kutumia teknolojia bora ya kilimo
0
Idadi ya Wakulima Wadogo waliofikiwa
0
Thamani ya bidhaa zilizouzwa
0
Uwekezaji uliowezeshwa katika Sekta binafsi

Tunafanya nini?

Taasisi ya SAGCOT kinawezesha wabia kufanya kazi katika minyororo yote ya thamani shirikishi na endelevu kwenye kilimo na kuhahikisha uwepo wa fursa sawa kwa wabia wote

Dhamira

Kuchochea uwekezaji wenye kuwajibika na jumuishi kwenye sekta Kilimo, Mifugo na Uvuvi ndani ya Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.

Dhamira

Kuchochea uwekezaji wenye kuwajibika na jumuishi kwenye sekta Kilimo, Mifugo na Uvuvi ndani ya Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.

Dira

Uwepo wa sekta ya kilimo iliyoboreshwa na kuleta faida kibiashara nchini Tanzania na inayoimarisha usalama wa chakula, kuboresha hali ya kipato katika kaya na kuhakikisha uhifadhi endelevu wa mazingira.

Habari na Matukio ya hivi karibuni

Jiunge Kwenye Jarida Letu