Kongani hii hujumuisha Mikoa ya Mbeya na Songwe, iliyoko kusini magharibi mwa nchi. Kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka 2012, mikoa ya Mbeya na Songwe ilikuwa na idadi ya watu 3,706,272 kukiwa na  kasi ya ukuaji wa idadi ya watu kwa asilimia 2.7 kwa mwaka. Kongani ya Mbarali ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba zaidi ya 70,000
Image
Image